Saturday, February 25, 2012

OLIVER ONIONS

Marehemu huyu jina lake linachekesha. ONIONS ni VITUNGUU katika Kiswahili. Ukiacha jina lake huyu bwana hakuwa na mzaha kwani alikuwa maarufu sana katika riwaya za kutisha.

No comments:

Post a Comment