Saturday, September 14, 2013

NIMEMPA ACHUME

hiki nacho kina. Ama kweli ukwasi wa riwaya umenizonga.

NITAKUFA NAE

Nilikisoma nyuma kidogpo Sikumbuki kama ni Kitogo, Mtobwa au Hammie rajab

CHA MOTO ATAKIONA

naitafuta riwaya hii pia

HEKAYA ZA ABUNUWASI

natafuta hekaya hizi.Zilisisimua mno.

WATANITAMBUA (SAM KITOGO)

ndugu Sam Kitogo (mtunzi) au yeyote mwingine. Tafadhalini naitafuta sana riwaya hii iliyonisisimua kipindi cha nyuma sana.

Contact/Mawasiliano: Denis Maringo (0719270067; dnmaringo@gmail.com)

HADITHI ZA BULICHEKA

hiki nina nakala mbili. Moja naiuza.

Contact/Mawasiliano: Denis Maringo (0719270067; dnmaringo@gmail.com)

MFADHILI WA DHIKI

nani anacho hiki?

SIFI MARA MBILI

Nisadieni taarifa za upatikanaji riwaya hii.

maringo: 0719270067

IKIBIDI KUFA NIFE

kuna mwenye nacho hiki? Tafadhali.

Mawasiliano: Denis Maringo (0719270067; dnmaringo@gmail.com)

MSAKO WA HAYAWANI

Nakitafuta mno hiki. Watunza na wapenzi wa riwaya za Tanzania nisaidieni.
*Mawasiliano: Denis Maringo (0719270067; dnmaringo@gmail.com)

NIIMEKOMA SITAKI TENA

nakisaka kwa udi na uvumba:

Mawasiliano: Denis Maringo (0719270067; dnmaringo@gmail.com)

USHINDI WA MAHABA

Mwenye Riwaya hii, tafadhali.

Mawasiliano: Denis Maringo (0719270067; dnmaringo@gmail.com)

ROHO MKONONI

 tafadhali mwenye riwaya hii ya kusisismua anisaidie:

Contact/Mawasiliano: Denis Maringo (0719270067; dnmaringo@gmail.com)